× Lugha Ulaya Kirusi Kibelarusi Kiukreni Kipolishi Kisabia Kibulgaria Kislovakia Kicheki Kiromania Kimongolia Azerbaijan Kiarmenia Kijojiajia Kialbania Avar Bashkir Kitatari Chechen Kislovenia Kikroeshia Kiestonia Kilatvia Kilithuania Kihungari Kifini Kinorwe Kiswidi Kiaislandi Kigiriki Kimasedonia Kijerumani Bavaria Kiholanzi Kidenmaki Kiwelisi Gaelic Kiayalandi Kifaransa Kibasque Kikatalani Kiitaliano Galacian Romani Bosnian Kabardian Marekani Kaskazini Kiingereza Amerika Kusini Kihispania Kireno Kiguarani Quechuan Aymara Amerika ya Kati Jamaican Nahuatl Kiche Q'eqchi Kihaiti Asia ya Mashariki Kichina Kijapani Kikorea Kimongolia Uyghur Hmong Tibetian Asia ya Kusini Mashariki Malaysia Kiburma Hakha Chin Kinepali Cebuano Tagalog Kambodia Thai Kiindonesia Msunda Kivietinamu Kijava Lao Iban Iu Mien Kachin Lahu Aceh Balinese Bugis Pampanga Sasak Shan Waray Asia ya Kusini Kihindi Оdia Awadhi Mizo Kannada Kimalayalam Marathi Kigujarati Kitamil Kitelugu Kipunjabi Kurukh Kiassam Maithili Kibangali Kiurdu Sinhala Dogri Haryanvi Meitei Konkani Santali Kisindhi Koya Thado Sanskrit Devanagari Adilabad Gondi Ahirani Balochi Bundeli Chhattisgarhi Garhwali Kangri Kumaoni Mewari Munda Sadri Seraiki Shekhawati Sylheti Bagri Bhilali Bodo Braj Tulu Asia ya Kati Kikirigizi Kiuzbeki Tajik Waturuki Kazakhstan Karakalpak Mashariki ya Kati Kituruki Kiebrania Kiarabu Kiajemi Kikurdi Mazanderani Kipashto Kikatili Afrika Kiafrika Kixhosa Kizulu Ndebele Kisotho Kiamhari Wolaytta Nigeria Mossi Ika Dinka Kabyle Ewe Kiswahili Morocco Kisalia Kiingereza Madagascar Igbo Lingala Baoule Siswati Kitsonga Tswana Gambia Kiyoruba Kamba Kinyarwanda Kihausa Chewa Kiluo Makua Dyula Fulfulde Kalenjin Kikikuyu Kikwango Kirundi Krio Nigerian Pidgin Oromo Tshiluba Tshivenda Twi Umbundu Lugbara Luguru Pular Gussi Mmasai Turkana Moba Nuer Shilluk Tamasheq Makonde Bemba Fon Hadiyya Ibibio Kimbundu Kimiiru Lango Liberian Kreyol Lomwe Mende Morisyen Ndau Nyankole Sena Sidamo Soga Songe Sukuma Tarifit Teso Tiv Zande Dagbani Edo Kituba Bara la Australia New Zealand Papua Mpya Guinea Lugha za Zamani Aramaic Kilatini Kiesperanto 1 1 1 SRUV 1997 NMM 2018TKU 2017NEN 2015RSUVDC 2013SWC 2002BHN 2001SCLDC10 2001SRUV 1997SUV 1997BHNTLK 1993SRB 1937SWZZB192118501 1 1 Methali MwanzoKutokaWalawiHesabuKumbukumbu la SheriaYoshuaWaamuziRuthu1 Samueli2 Samueli1 Wafalme2 Wafalme1 Mambo ya Nyakati2 Mambo ya NyakatiEzraNehemiaEstaYobuZaburiMethaliMhubiriHekimaIsayaYeremiaMaombolezoEzekieliDanieliHoseaYoeliAmosiObadiaYonaMikaNahumuHabakukiSefaniaHagaiZekariaMalaki--- --- ---MatthayoMarkoLukaYohaneWaromaMatendo ya Mitume1 Wakorinto2 WakorintoWagalatiaWaefesoWafilipiWakolosai1 Wathesalonike2 Wathesalonike1 Timotheo2 TimotheoTitoFilemoniWaebraniaYakobo1 Petro2 Petro1 Yohane2 Yohane3 YohaneYudaUfunuo wa Yohane1 1 1 1 123456789101112131415161718192021222324252627282930311 1 1 : 1 1234567891011121314151617181920212223242526272829303132331 1 1 Kiswahili Biblia 1997 Methali 1 Hifadhi Vidokezo 1Mithali za Sulemani, mwana wa Daudi, mfalme wa Israeli.2Kujua hekima na adabu; kutambua maneno ya ufahamu;3kufundishwa matendo ya busara, katika haki na hukumu na adili.4Kuwapa wajinga werevu, na kijana maarifa na hadhari;5mwenye hekima asikie na kuongezewa elimu, na mwenye ufahamu ayafikie mashauri yenye njia.6Kufahamu mithali na kitendawili, na maneno ya wenye hekima na mafumbo yao.7Kumcha Bwana ni chanzo cha maarifa, Bali wapumbavu hudharau hekima na adabu.8Mwanangu, yasikilize mafundisho ya baba yako, Wala usiiache sheria ya mama yako,9Kwa maana hayo yatakuwa kilemba cha neema kichwani pako, Na mikufu shingoni mwako.10Mwanangu, wenye dhambi wakikushawishi, Wewe usikubali.11Wakisema, Haya! Njoo pamoja nasi, Na tuvizie ili kumwaga damu; Tumwotee asiye na hatia, bila sababu;12Tuwameze hai kama kuzimu, Na wazima, kama wao washukao shimoni.13Tutapata mali yote ya thamani, Tutazijaza nyumba zetu mateka.14Wewe utashirikiana nasi; Tutakuwa na vitu vyote shirika.15Mwanangu, usiende njiani pamoja nao; Uzuie mguu wako usiende katika mapito yao.16Maana miguu yao huenda mbio maovuni, Nao hufanya haraka ili kumwaga damu.17Kwa kuwa mtego hutegwa bure, Mbele ya macho ya ndege ye yote.18Na hao hujiotea damu yao wenyewe, Hujinyemelea nafsi zao wenyewe.19Ndivyo zilivyo njia za kila mwenye tamaa ya mali; Huuondoa uhai wao walio nayo.20Hekima hupaza sauti yake katika njia kuu, Hutoa sauti yake katika viwanja;21Hulia penye mikutano mikubwa ya watu, Mahali pa kuyaingilia malango, Ndani ya mji hutamka maneno yake.22Enyi wajinga, hata lini mtapenda ujinga? Na wenye dharau kupenda dharau yao, Na wapumbavu kuchukia maarifa?23Geukeni kwa ajili ya maonyo yangu; Tazama, nitawamwagia roho yangu, Na kuwajulisheni maneno yangu.24Kwa kuwa nimeita, nanyi mkakataa; Nimeunyosha mkono wangu, asiangalie mtu;25Bali mmebatilisha shauri langu, Wala hamkutaka maonyo yangu;26Mimi nami nitacheka siku ya msiba wenu, Nitadhihaki hofu yenu ifikapo;27Hofu yenu ifikapo kama tufani, Na msiba wenu ufikapo kama kisulisuli, Dhiki na taabu zitakapowafikia.28Ndipo watakaponiita, lakini sitaitika; Watanitafuta kwa bidii, wasinione.29Kwa kuwa walichukia maarifa, Wala hawakuchagua kumcha Bwana.30Hawakukubali mashauri yangu, Wakayadharau maonyo yangu yote.31Kwa hiyo watakula matunda ya njia yao, Watashiba mashauri yao wenyewe.32Maana kurudi nyuma kwao wajinga kutawaua, Na kufanikiwa kwao wapumbavu kutawaangamiza.33Bali kila anisikilizaye atakaa salama, Naye atatulia bila kuogopa mabaya.Swahili Bible 1997 1952, 1997: Bible Society of Tanzania and Bible Society of Kenya. Kiswahili Biblia 1997 Methali 1 00:00:00 00:00:00 0.5x 2.0x https://beblia.bible:81/BibleAudio/swahili/proverbs/001.mp3 31 1