× Lugha Ulaya Kirusi Kibelarusi Kiukreni Kipolishi Kisabia Kibulgaria Kislovakia Kicheki Kiromania Kimongolia Azerbaijan Kiarmenia Kijojiajia Kialbania Avar Bashkir Kitatari Chechen Kislovenia Kikroeshia Kiestonia Kilatvia Kilithuania Kihungari Kifini Kinorwe Kiswidi Kiaislandi Kigiriki Kimasedonia Kijerumani Bavaria Kiholanzi Kidenmaki Kiwelisi Gaelic Kiayalandi Kifaransa Kibasque Kikatalani Kiitaliano Galacian Romani Bosnian Marekani Kaskazini Kiingereza Amerika Kusini Kihispania Kireno Kiguarani Quechuan Aymara Amerika ya Kati Jamaican Nahuatl Kiche Q'eqchi Kihaiti Asia ya Mashariki Kichina Kijapani Kikorea Kimongolia Uyghur Hmong Asia ya Kusini Mashariki Malaysia Kiburma Hakha Chin Kinepali Cebuano Tagalog Kambodia Thai Kiindonesia Kivietinamu Kijava Lao Iban Iu Mien Kachin Lahu Aceh Balinese Bugis Pampanga Sasak Shan Waray Asia ya Kusini Kihindi Оdia Awadhi Mizo Kannada Kimalayalam Marathi Kigujarati Kitamil Kitelugu Kipunjabi Kurukh Kiassam Maithili Kibangali Kiurdu Sinhala Dogri Haryanvi Meitei Konkani Santali Kisindhi Koya Thado Sanskrit Devanagari Adilabad Gondi Ahirani Balochi Bundeli Chhattisgarhi Garhwali Kangri Kumaoni Mewari Munda Sadri Seraiki Shekhawati Sylheti Asia ya Kati Kikirigizi Kiuzbeki Tajik Waturuki Kazakhstan Karakalpak Mashariki ya Kati Kituruki Kiebrania Kiarabu Kiajemi Kikurdi Kipashto Kikatili Afrika Kiafrika Kixhosa Kizulu Ndebele Kisotho Kiamhari Wolaytta Nigeria Mossi Ika Dinka Kabyle Ewe Kiswahili Morocco Kisalia Kiingereza Madagascar Igbo Lingala Baoule Siswati Kitsonga Tswana Gambia Kiyoruba Kamba Kinyarwanda Kihausa Chewa Kiluo Makua Dyula Fulfulde Kalenjin Kikikuyu Kikwango Kirundi Krio Nigerian Pidgin Oromo Tshiluba Tshivenda Twi Umbundu Lugbara Luguru Pular Gussi Mmasai Turkana Moba Nuer Shilluk Tamasheq Makonde Bemba Fon Hadiyya Ibibio Kimbundu Kimiiru Lango Liberian Kreyol Lomwe Mende Morisyen Ndau Nyankole Sena Sidamo Soga Songe Sukuma Tarifit Teso Tiv Zande Bara la Australia New Zealand Papua Mpya Guinea Lugha za Zamani Aramaic Kilatini Kiesperanto 1 1 1 SRUV 1997 NMM 2018TKU 2017NEN 2015RSUVDC 2013SWC 2002BHN 2001SCLDC10 2001SRUV 1997SUV 1997BHNTLK 1993SRB 1937SWZZB192118501 1 1 Methali MwanzoKutokaWalawiHesabuKumbukumbu la SheriaYoshuaWaamuziRuthu1 Samueli2 Samueli1 Wafalme2 Wafalme1 Mambo ya Nyakati2 Mambo ya NyakatiEzraNehemiaEstaYobuZaburiMethaliMhubiriHekimaIsayaYeremiaMaombolezoEzekieliDanieliHoseaYoeliAmosiObadiaYonaMikaNahumuHabakukiSefaniaHagaiZekariaMalaki--- --- ---MatthayoMarkoLukaYohaneWaromaMatendo ya Mitume1 Wakorinto2 WakorintoWagalatiaWaefesoWafilipiWakolosai1 Wathesalonike2 Wathesalonike1 Timotheo2 TimotheoTitoFilemoniWaebraniaYakobo1 Petro2 Petro1 Yohane2 Yohane3 YohaneYudaUfunuo wa Yohane1 1 1 23 123456789101112131415161718192021222324252627282930311 1 1 : 1 12345678910111213141516171819202122232425262728293031323334351 1 1 Kiswahili Biblia 1997 Methali 23 Hifadhi Vidokezo 1Utakapoketi kwa chakula pamoja na mtawala, Mwangalie sana yeye aliye mbele yako.2Tena ujitie kisu kooni, Kama ukiwa mlafi.3Usivitamani vyakula vyake vya anasa; Kwa maana ni vyakula vya hila.4Usijitaabishe ili kupata utajiri; Acha kuzitegemea akili zako mwenyewe.5Je! Utavikazia macho vile ambavyo si kitu? Maana bila shaka mali hujifanyia mabawa, Kama tai arukaye mbinguni.6Usile mkate wa mtu mwenye husuda; Wala usivitamani vyakula vyake vya anasa;7Maana aonavyo nafsini mwake, ndivyo alivyo. Akuambia, Haya, kula, kunywa; Lakini moyo wake hauwi pamoja nawe.8Tonge lile ulilokula utalitapika, Na maneno yako matamu yatakupotea.9Usiseme masikioni mwa mpumbavu; Maana atadharau hekima ya maneno yako.10Usiiondoe alama ya mpaka wa zamani; Wala usiingie katika mashamba ya yatima;11Kwa sababu mkombozi wao ana nguvu; Atawatetea juu yako.12Elekeza moyo wako kusikiliza mafundisho; Tega masikio yako kusikia maneno ya maarifa.13Usimnyime mtoto wako mapigo; Maana ukimpiga kwa fimbo hatakufa.14Utampiga kwa fimbo, Na kumwokoa nafsi yake na Kuzimu.15Mwanangu, kama moyo wako una hekima, Moyo wangu utafurahi, naam, moyo wangu;16Naam, viuno vyangu vitafurahi, Midomo yako inenapo maneno mema.17Moyo wako usiwahusudu wenye dhambi; Bali mche Bwana mchana kutwa;18Maana bila shaka iko thawabu; Na tumaini lako halitabatilika.19Sikia, mwanangu, uwe na hekima, Na kuuongoza moyo wako katika njia njema.20Usiwe miongoni mwao wanywao mvinyo; Miongoni mwao walao nyama kwa pupa.21Kwa maana mlevi na mlafi huingia umaskini, Na utepetevu humvika mtu nguo mbovu.22Msikilize baba yako aliyekuzaa, Wala usimdharau mama yako akiwa mzee.23Inunue kweli, wala usiiuze; Naam, hekima, na mafundisho, na ufahamu.24Baba yake mwenye haki atashangilia; Naye amzaaye mtoto mwenye hekima atamfurahia.25Na wafurahi baba yako na mama yako; Na afurahi aliyekuzaa.26Mwanangu, nipe moyo wako; Macho yako yapendezwe na njia zangu.27Kwa maana kahaba ni shimo refu; Na malaya ni rima jembamba.28Naam, huotea kama mnyang'anyi; Huwaongeza wenye hila katika wanadamu.29Ni nani apigaye, Yowe? Ni nani aliaye, Ole? Ni nani mwenye ugomvi? Ni nani mwenye mguno? Ni nani aliye na jeraha zisizo na sababu? Ni nani aliye na macho mekundu?30Ni wale wakaao sana kwenye mvinyo; Waendao kutafuta divai iliyochanganyika.31Usiitazame mvinyo iwapo ni nyekundu; Iitiapo bilauri rangi yake, ishukapo taratibu;32Mwisho wake huuma kama nyoka; Huchoma kama fira.33Macho yako yataona mambo mageni; Na moyo wako utatoa yaliyopotoka.34Naam, utakuwa kama alalaye katikati ya bahari; Au kama yeye asinziaye juu ya mlingoti.35Utasema, Wamenichapa wala sikuumia; Wamenipiga wala sina habari; Nitaamka lini, nitazidi kuitafuta tena.Swahili Bible 1997 1952, 1997: Bible Society of Tanzania and Bible Society of Kenya. All rights reserved. Kiswahili Biblia 1997 Methali 23 00:00:00 00:00:00 0.5x 2.0x https://beblia.bible:81/BibleAudio/swahili/proverbs/023.mp3 31 23