Mstari wa Siku
| Desemba 10 |
| Msifungiwe nira pamoja na watu wasioamini, kwa jinsi isivyo sawasawa, kwa maana pana uhusiano gani kati ya haki na uovu? Au kuna ushirika gani kati ya nuru na giza? |
| Swahili Bible 2025 |
| Neno: Biblia Takatifu™ Neno™ Hakimiliki © 1984, 1989, 2009, 2015 na Biblica, Inc |